hapo ilikua ni moja ya maandalizi ya sherehe hiyo
huyu ni my aunt Rehema au Mrs mhagama ,naye alikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa!
oooh Mary naye hakukosa ,alikuwepo kuhakisha vicheko vinatawala,she is very charming
asanteni mabest jamani,mlinipa support kubwa sana
My aunt kushoto,huyo ndio alieniandalia hiyo kitu...thanks to u aunt emmy!!!
Watu wakala,wakaenjoy...chakula kilikua kitamu kiukweli
wakacheza HAKUNANAGA ,du hadi raha
ikafika muda wenyewe wa maana halisi ya mbesii...wengine hela,vitenge ,nguo za mtot ,ilimradi ikaitwa zawadi
Shost chukua bag la clinic hilo.....asante claudia
Me and my aunt
aunt emmy kushoto,kulia aunt rehema
mabest zangu hao,kutoka kushoto,Claudia,Alice,Gaudencia na Angel....
Mary na Jesca..eti waliitwa mawifi kwa siku hiyo...but wote wanamuita husband uncle
ilifika mahali nikawa nimechoka ...n i missed my son
mwisho kabisa akaletwa Fibonack,,,wanasema ni kipindi cha bembeleza mtoto.
kweli tembea uyaone.....yote hayo nimeyajulia arusha.
Asanteni wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha siku hiyo.GOD BLESS U ALL
No comments:
Post a Comment