Wednesday, June 27, 2012

ILIKUA EASTER HOLIDAY ........NDANI YA LUSHOTO

 Dereva alikua baba totooooo.......kaweka pozi ya kibabe du
 Tulipata full blessing............huyo ni shangazi Merry
 Hapo ndio full blessing from mzee Leornald a.k.a babu tuntu
 Hakuna kubebwa........dogo alitulia safari nzima
Baba toto biz na anko kuchukua matukio

Wednesday, March 14, 2012

HE IS SO SWEET N LOVELY......

 He is my fresh n blood....
 yo so sweet my little boy...
 fibs akiwa na babaake mkubwa a.k.a babu tuntu....
 babutuntu alikua biz just to make sure dogo anafurahi....
 mtu na mdogoake..Sean junior akiwa na fibs...
 jamani nimekua kaka hadi nampakata mdogo wangu...good job junior
 kua mwanangu nikutume.....
mama sean,a.k.a bibi tuntu akiwa na fibs...lov u mom

INAITWA MBESIII....

 kwa wale watu wa mkoa wa arusha na kilimanjaro wanaijua vizuri,ni kajisherehe fulani kanafanyika mtu unapojifungua,kweli tembea uone,Fibonacci kaleta mambo mengi niliyoyajua na nisiyoyajua.
hapo ilikua ni moja ya maandalizi ya sherehe hiyo
 huyu ni my aunt Rehema au Mrs mhagama ,naye alikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa!

oooh Mary naye hakukosa ,alikuwepo kuhakisha vicheko vinatawala,she is very charming

asanteni mabest jamani,mlinipa support kubwa sana
 My aunt kushoto,huyo ndio alieniandalia hiyo kitu...thanks to u aunt emmy!!!
 Watu wakala,wakaenjoy...chakula kilikua kitamu kiukweli
 wakacheza HAKUNANAGA ,du hadi raha
 ikafika muda wenyewe wa maana halisi ya mbesii...wengine hela,vitenge ,nguo za mtot ,ilimradi ikaitwa zawadi
 Shost chukua bag la clinic hilo.....asante claudia
 Me and my aunt
 aunt emmy kushoto,kulia aunt rehema
 mabest zangu hao,kutoka kushoto,Claudia,Alice,Gaudencia na Angel....
 Mary na Jesca..eti waliitwa mawifi kwa siku hiyo...but wote wanamuita husband uncle
 ilifika mahali nikawa nimechoka ...n i missed my son
 mwisho kabisa akaletwa Fibonack,,,wanasema ni kipindi cha bembeleza mtoto.
kweli tembea uyaone.....yote hayo nimeyajulia arusha.
Asanteni wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha siku hiyo.GOD BLESS U ALL

Saturday, February 25, 2012

JAMANI HAWA WATOTO WA JAKAYA....

 Eti hataki kupakatwa anataka kukaa hivyo muda wote na wakati muda wake bado kabisa
 yani hapo anajiona mkubwaaa kweli kazi ninayo
 huwezi amini anachezea hadi wadoli .......
 my son uko juu......lov u mwaaaaaaaa
amekaa peke yake...raha sana...ol in ol THANKS GOD

Thursday, February 23, 2012

THREE MONTHS OF AGE...

 Utadhani kaambiwa mguu sawa....
 anazidi kua mjanja,mapozi anayo si mchezo

hapa akiwa na neighbour enjoy.......

FIBONACCI FASHION...

 chagua inayokufaa hapo...
 mshindwe nyie tu kuvaa...
This is Fibonacci fasion....Thank God for this.

SIO SIRI NIMEKUZA MWENZENU.....

 Me lov him...
 Am glad to c him growin'
he was crying ......but hapa alikua analia uongo