Wednesday, March 14, 2012

HE IS SO SWEET N LOVELY......

 He is my fresh n blood....
 yo so sweet my little boy...
 fibs akiwa na babaake mkubwa a.k.a babu tuntu....
 babutuntu alikua biz just to make sure dogo anafurahi....
 mtu na mdogoake..Sean junior akiwa na fibs...
 jamani nimekua kaka hadi nampakata mdogo wangu...good job junior
 kua mwanangu nikutume.....
mama sean,a.k.a bibi tuntu akiwa na fibs...lov u mom

INAITWA MBESIII....

 kwa wale watu wa mkoa wa arusha na kilimanjaro wanaijua vizuri,ni kajisherehe fulani kanafanyika mtu unapojifungua,kweli tembea uone,Fibonacci kaleta mambo mengi niliyoyajua na nisiyoyajua.
hapo ilikua ni moja ya maandalizi ya sherehe hiyo
 huyu ni my aunt Rehema au Mrs mhagama ,naye alikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa!

oooh Mary naye hakukosa ,alikuwepo kuhakisha vicheko vinatawala,she is very charming

asanteni mabest jamani,mlinipa support kubwa sana
 My aunt kushoto,huyo ndio alieniandalia hiyo kitu...thanks to u aunt emmy!!!
 Watu wakala,wakaenjoy...chakula kilikua kitamu kiukweli
 wakacheza HAKUNANAGA ,du hadi raha
 ikafika muda wenyewe wa maana halisi ya mbesii...wengine hela,vitenge ,nguo za mtot ,ilimradi ikaitwa zawadi
 Shost chukua bag la clinic hilo.....asante claudia
 Me and my aunt
 aunt emmy kushoto,kulia aunt rehema
 mabest zangu hao,kutoka kushoto,Claudia,Alice,Gaudencia na Angel....
 Mary na Jesca..eti waliitwa mawifi kwa siku hiyo...but wote wanamuita husband uncle
 ilifika mahali nikawa nimechoka ...n i missed my son
 mwisho kabisa akaletwa Fibonack,,,wanasema ni kipindi cha bembeleza mtoto.
kweli tembea uyaone.....yote hayo nimeyajulia arusha.
Asanteni wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha siku hiyo.GOD BLESS U ALL